GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
mimi nipo kushangilia simba leo japo mie ni yangaNasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
Tunakupata kamanda.......hiii vita inaeleweka japo watoto wanaona tu michezo ya Simba na Yanga ila kwa chini kuna vita kali.......ashinde yeyote ila kuna wapumbavu lazima wafutwe........wakisepa wa Botswana basi waliowaingiza chakike ni wa hukuhuku bongo maana hii vita ni ya hapa..........Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
Simba wanashinda 3-0Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
GENTAMYCINE ndio Kifuu Tundu?Ujuaji mwiingi kumbe kifuu tundu!
Kwani haiwezekani!GENTAMYCINE ndio Kifuu Tundu?
6 sio namba nzuri kwa nyakati hizi......Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
Unamaanisha Laban og?Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
× 2