Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Ndugu lengo Langu ni kuacha kazi ndugu ili nisimamie mambo yangu mwenyeweusiache wewe tafuta mfanya kazi akusaidiage tuu
Karibu sana mdau labda nikutie Moyo tu kwa uamuzi wako na nikupe mfano wa kosa linalofanywa na wengi walio ajiriwa. Kuna watu kama wewe huanzisha miradi hii na kuajiri watu waisimamie, unakuta anayesimamia haifanyi kazi ipsavyo ila atakuibia kidogo kidogo na akiondoka anaanzisha biashara kama hiyo bila wewe kufahamu alikuwa anakuibia kiasi cha kupata mtaji.Habar wanajamvi mimi ni Muajiriwa katika shirika Moja lisilo la kiserikali na kazi ninayo jishuhulisha nayo nje ya ajira yangu ni kilimo na pia nina malengo ya kufuga kuku wa aina zote yaani chotara, wa mayai na wanyama na malengo yangu ni kuacha kazi na kusimamia shuhuli zangu za kilimo na ufugaji. Sasa wadau ambao mliacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe mlipitia changamoto gani pindi Mlipoacha kazi.
Hahaa fursa recycling!!Safi sanaaa mkuu, coz unatoa chance kwa kijana mwenzio nae aingie nafasi unayoiacha naye apate mtaji aweze kujiajiri. Tukipata watu wengi kama wewe nadhani tatizo la ajira walau litapungua
Kweli kabisa. Kila mtu anashauri kutokana na uzoefu wake. Swali la msingi alilouliza ni changamoto gani azitegemee akikacha kazi na kujiajiri.mhi, fata malengo yako mkuu hapa kila mtu atakushauri kulingana na level ya ujasiri wake
Thanks MkuuKaka kwanza Hongera kwa kuanza Kuwa na wazo hilo
Kujiajiri kuna changamoto nyingi sana, ukilala biashara pia imelala .pili vitu huwa haviendi kama unavyotaka wewe inakubidi uwe na subira, jipe muda ukishaingia kwenye shughuli zako mwenyewe. Mfano mimi binafsi nina miaka Miwili now toka nivunje daraja, kuanza Kujiajiri na nimejipa kipindi cha miaka mitano hadi saba ya shida na njaa it means kipindi cha kujenga brand yangu na sasa nimeajiri vijana zaidi ya kumi. Na nilifanya kazi kwenye ngo. Usiogope Kujiajiri. Lila sehemu changamoto zipo naamini hata hapo ulipo changamoto zipo. Like kupelekwa kwenye hearing na vitu kana hivyo. Fanya uamuzi sahihi now na amini ukijiajiri elimu yako Ndio utaitumia vizur
Sasa hivi umesimama kwa miguu miwili...siku ukiacha kazi utakuwa umesimamia mguu mmoja...itakugharimuNdugu lengo Langu ni kuacha kazi ndugu ili nisimamie mambo yangu mwenyewe
Acha kumtia ujinga mwenzako,hofu na uoga wako wa maisha usimuambukize mwenzio.Sasa hivi umesimama kwa miguu miwili...siku ukiacha kazi utakuwa umesimamia mguu mmoja...itakugharimu
Kwa atakayepitia hapa nafikiri mjinga atamuona ni nani kulingana na comment zetu,sina hofu wala uoga kimaisha naishi maisha ya kawaida kabisa amabayo nasema Mwenyezi Mungu asante (Hivi wakati mwingine mnaposhindwa kukoment kistaarabu mnapungukiwa nini?Acha kumtia ujinga mwenzako,hofu na uoga wako wa maisha usimuambukize mwenzio.
ABUBAKAR SHEKAU songa mbele baba maamuzi yako ni sahihi 100%.Achana na utumwa.