Healthy wealthy
Senior Member
- Nov 19, 2016
- 128
- 104
Inaonekana ushasoma baadhi ya vitabu ambavyo vimekwambia mengi kuhusu financial freedom... Jipange na uache kazi.
Haukuja duniani kwa ajili ya kutumwa.
Haukuja duniani kwa ajili ya kutumwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roger thatKaribu sana mdau labda nikutie Moyo tu kwa uamuzi wako na nikupe mfano wa kosa linalofanywa na wengi walio ajiriwa. Kuna watu kama wewe huanzisha miradi hii na kuajiri watu waisimamie, unakuta anayesimamia haifanyi kazi ipsavyo ila atakuibia kidogo kidogo na akiondoka anaanzisha biashara kama hiyo bila wewe kufahamu alikuwa anakuibia kiasi cha kupata mtaji. Tunaona vijana wengi wanavyo ajiriwa kwenye maduka hasa ya rejareja na kuacha kazi baadae na kufungua maduka binafsi wakati mshahara wake ulikuwa elfu hamsini au laki. Sasa aliyemuajiri angeacha hiyo kazi anayofanya na akasimamia mradi mwenyewe si mradi ungemtoa?
Kikubwa kuwa jasiri na ujue kujifariji maana kuna nyakati mambo yanaweza kuwa hovyo ukawaza kurudi kuajiriwa. Self motivation is key to succeed in this. Kila la heri.
Ushaur mzur snKaribu sana mdau labda nikutie Moyo tu kwa uamuzi wako na nikupe mfano wa kosa linalofanywa na wengi walio ajiriwa. Kuna watu kama wewe huanzisha miradi hii na kuajiri watu waisimamie, unakuta anayesimamia haifanyi kazi ipsavyo ila atakuibia kidogo kidogo na akiondoka anaanzisha biashara kama hiyo bila wewe kufahamu alikuwa anakuibia kiasi cha kupata mtaji. Tunaona vijana wengi wanavyo ajiriwa kwenye maduka hasa ya rejareja na kuacha kazi baadae na kufungua maduka binafsi wakati mshahara wake ulikuwa elfu hamsini au laki. Sasa aliyemuajiri angeacha hiyo kazi anayofanya na akasimamia mradi mwenyewe si mradi ungemtoa?
Kikubwa kuwa jasiri na ujue kujifariji maana kuna nyakati mambo yanaweza kuwa hovyo ukawaza kurudi kuajiriwa. Self motivation is key to succeed in this. Kila la heri.
Wadau ni ushauri wangu tu ila Kama mkiupenda mtaufuata kama huhitaji kuajiriwa na upo Dar Wekeza Alliance in Motion Global ujiajiri mwenyewe kuna watu tumeacha kazi na kujiajiri huko,,na sasa tunatengeneza ela kama mkiipenda na nyie tunaweza kuwasiliana,,Habar wanajamvi mimi ni Muajiriwa katika shirika Moja lisilo la kiserikali na kazi ninayo jishuhulisha nayo nje ya ajira yangu ni kilimo na pia nina malengo ya kufuga kuku wa aina zote yaani chotara, wa mayai na wanyama na malengo yangu ni kuacha kazi na kusimamia shuhuli zangu za kilimo na ufugaji. Sasa wadau ambao mliacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe mlipitia changamoto gani pindi Mlipoacha kazi.
From initialy wewe mwebye Idea ndo unatakiwa kuwa kiongozi. Biashara ni kama mtoto mchanga, mtoto mchanga anahitaji sana malezi ya mama mwanzoni tu anapo zaliwa so ni the same na biasharaJe ufanisi wa kazi yako umefikia hatua ya kukuitaji wewe tu na sio mwingine? don't just be excited kuacha kazi, nimejifunza mengi na ningeweza kukushauri sana ila hata kwa kuandika sidhani kama itatosha.
Ni kweli hakuna Tajiri mwajiriwa na hajawahi tokeaNice thinking. wachache sana wenye ufikir huru kama wewe. Cha msingi tambua hakuna tajiri aliyeajiriwa hapa Duniani. .moja kati ya njia za kuongeza kipato ni kuacha kazi ya kuajiriwa. Big up to u. umefikir nje ya box. Mchukie Boss ona yeye ndo amefifisha ndoto zako,ametumia muda wako kama mkanda wake. Jipe moyo
From initialy wewe mwebye Idea ndo unatakiwa kuwa kiongozi. Biashara ni kama mtoto mchanga, mtoto mchanga anahitaji sana malezi ya mama mwanzoni tu anapo zaliwa so ni the same na biashara
Asante Mkuu je unafanya biashara gani?Karibu sana mkuu changamoto zipo fanya ya fuatayo kwanza kabla ya kuchomoka uko ulipo
1 anda iyo sehemu unayotaka kufanyia mradi wako
2 jenga mabanda ya kisasa ambayo hayatokupa hasara kwa kuingiliwa na mvua au wanyama wakali wakaharibu mifugo yako na kutapa hasara NA KATIKA UFUGAJI MABANDA NDO MTAJI MKUBWA SANA
3 kuanzia sasa anza kuwatembelea wafugaji wakupe changamoto zao na jins wanavyo zitatu ili upate uzoefu za kiakili
4 fanya maamuzi unataka kuanza na kuku gan na waina gan mbegu zilizo bora
5 anza mradi lakin kwanza ukiwa umemuweka mtu fanya ivyo kwa kipindi cha miez 3/6 apo sasa utakua umekomaa na ushajua changamoto zote na mradi utakua umeanza kutoa matunda sasa apo unaacha KAZI TENA KWA JEURI mm ndo njia niliyotumia sikuteteleka sana
Me nafuga kuku mkuu asaiv naanda shamba somanga nipande ufuta na mahindiAsante Mkuu je unafanya biashara gani?
Idea is basically theoretical. impleentation of the idea is practical and it is here where one learns. samahani kwa kubadili lugha.Unajifunza wapi? Mkuu mwenye Idea ndo anatakiwa kuongoza Idea yake. Kufanya biashara kwa simu ni kujiandaa kutumia mshahara kulipia wafanya kazi mshahara. Yaani mfano unafuga kuku inabidi uchukue pesa benki ukalishe kuku make no progress
Hongera kaka nina Imani tutafika tuMe nafuga kuku mkuu asaiv naanda shamba somanga nipande ufuta na mahindi
Kabisa tuombe mungu atupe afya njemaHongera kaka nina Imani tutafika tu
Nami pia najua hivyo.....From initialy wewe mwebye Idea ndo unatakiwa kuwa kiongozi. Biashara ni kama mtoto mchanga, mtoto mchanga anahitaji sana malezi ya mama mwanzoni tu anapo zaliwa so ni the same na biashara
Au mtu anayetaka kujinyonga anaomba ushauri kwa wana familia mhi hi hi, kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia asitake easy/faster money huko ni kwenda kuanza moja kabisaa juhudi na malego ndo zitakufikisha utakako kwendaHahaa haoa ******* Uoga unaimba ushauri kwa waajiriwa? Hahaaa ni sawa na mtu anaye takakuacha kutumia madawa ya kulevya anaenda kuomba ushauri kwa Mateja wenzake wamashauri jinsi ya kuacha.
Wewe mama unaacha acha tu ila ili uache haihitaji kuomba ushauri mashauri wako mkuu ni wewe mwenyewe mkuu.
Hahaaa ndo hivyo, ukiona mtu anaowaambia ndugu kwamba anataka kujinyonga jua huyo anaogopa sana kifo, ila asie ogopa watu hushitukia mtu ana ning'inia juu ya mti.Au mtu anayetaka kujinyonga anaomba ushauri kwa wana familia mhi hi hi, kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia asitake easy/faster money huko ni kwenda kuanza moja kabisaa juhudi na malego ndo zitakufikisha utakako kwenda