Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia wahindi mkuu India watu zaidi ya billion Tanzania wahindi familia moja watoto 6 na kuzidi. Spice food(pilipili)Kweli mzee source ipi ?
Mkuu km unavuta sigara achaKweli mzee source ipi ?
Sigara sivuti kabisa ila wananikera wavutaji njiani moshi wao nikipata hata kidogo kwa dakika zile chache nakohoa vibaya mno natamani hata Nipigie shaba hawa watu wanaovuta masihara na bangi hovyo njiani au kwenye mikusanyiko bila kujali wenzao.Mkuu km unavuta sigara acha
Then pilipili ukipika mboga uingize ndani ya Mboga , usitoboe Mkuu acha Mboga ichemke vizuri so hapo probably utakuwa umeipunguza Nguvu . Usitumie pilipili mbichi .
Mimi hadi najiuliza mtu unaweza kula vipi chakula bila pilipili ? kwa jinsi chakula kinavyopooza bila pilipili hata mdomoni akipandiChakula bila pilipili naona kama chakula cha mtoto mchanga..siwezi kula kwa raha..kwangu mimi pilipili nikiungo kikubwa sana kwenye chakula kuliko hata chumvi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
😋picha za misosi hakika zinaletesha njaaMimi hadi najiuliza mtu unaweza kula vipi chakula bila pilipili ? kwa jinsi chakula kinavyopooza bila pilipili hata mdomoni akipandiView attachment 2373376
Habari za muda huu wana Jf..
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa pilipili tokea udogoni mpaka sasa mpaka kuna kipindi nikawa ninajiuliza hivi wapi kuna mashindano ya ulaji wa pilipili na mimi nikawakilishe vizuri taifa langu ? na kwangu chakula chochote bila pilipili kwangu naona hakina maana na mzuka hauji kabisa.View attachment 2373048
Na napenda pilipili ikolee sawasawa hapo nikila stimu zipanda kichwani ubongo unachangamka mpaka nahisi pilipili inasaidia kuongeza akili maana najihusi mwepesi sana na uchangamfu wa hali ya juu wakati ninatumia.
Kiuhalisia mimi kifua changu kipo very sensitive vumbi au moshi wa sigara kidogo basi huwa nakohoa vibaya mno mpaka mwili inakoza nguvu sasa nikifululuza matumizi ya pilipili sitoboi siku tatu lazima homa ya kikohozi inapanda na madawa ya kifua mpaka nimeyazoea na hata nikiwa natumia dozi ya kikohozi bado ulaji unaendelea,kuna kipindi nilidhamiria niacha kabisa ila nilifanikiwa kujizuia kwa mwezi mmoja pekee na nimeshauriwa na wataalamu na watu wengine niache au kupunguza lakini nimeshindwa.
Kwa ambao wamefanikiwa naomba mbinu mliweza vipi kuachana na ulaji pilipili maana nataka niache kabisa kutumia.
#UziTayari
Mimi hadi najiuliza mtu unaweza kula vipi chakula bila pilipili ? kwa jinsi chakula kinavyopooza bila pilipili hata mdomoni akipandiView attachment 2373376
Aamin, nimeanza kuacha siku ya 3 sasa nataka nikikishe miezi miwili kwanza.Pole sana sheikh, mie mwenyewe niliambuwa kupunguza, nikaacha kabisa miaka kadhaa hivi, nilishindwa kuvumilia especially nikiwaona wenzangu wanashushia, so nikarudia ulaji wa pilipili.
Ushauri wangu, ikiwa umezuiwa, basi acha kabisa, na ikitokea umeugua hayo maradhi, na pilipili ndio ikawa sababu ya wewe kupelekea umauti, nisiendelee, masheikh wetakuja kutueleza zaidi hukmu ya hilo, au pengine hata wewe unalifahamu sheikh wangu😅 Allah atujaalie mwisho mwema
FaizaFoxy kahtaan
[emoji39]picha za misosi hakika zinaletesha njaa
🤣🤣Yaan daahTuko wengi tulioona…[emoji39]
Kwanijuavyo mimi pilipili ni dawa na ina faida lukuki tu kwenye afya ya binadamu, tangu nikiwa na umri mdogo sana nilikuwa nakula pilipili mpaka mama ananishangaa ila hazijawahi kunidhuru chochote hadi leo ni mtu mzima naninakula pilipili tena kwa kuitafuna yenyewe sio kuchanganya kwenye mchuzi. Tatizo lipo sehemu nyingine sema unaisingizia pilipili kwa kwa inawasha.
Hakika...Tatizo binadamu wasiku hizi wabishi sana..