Naenda[emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwenda zako....
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Madai yako unanikomesha...🙂🙂
Khaaah!! Yaani ujitoe wewe, mie nilie!!Ngoja na mimi nije na thread najitoa JF nione kama hutalia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umri wa kustaafu kwa hiari umefika....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hizi kujitoa kwa thread ndio habari ya mjini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utafikiri wakati unaingia ulitutangazia.....!
Yani nitakukamata alafu nakupa tit for tat. Ila ni kama kaujanja fulani ili mtu aje na id mpya, ili msishtuke maana mtakuwa mnajua yule alishajitoa.Nitajitoa halafu naibuka na new ID....sasa changamoto kuuacha u-nshomile....utanishtukia tu!