Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Hapo sasa
18722284_1682185702078032_3670514729454927872_n.jpg

Hivi mi na Numbisa tumewakosea nini?
 
Umri wa kustaafu kwa hiari umefika....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umri ukifika unadhani utasema basi kaka yangu!! Utajikuta tu unajitoa. Majukumu yatakubana, unataka kushika simu unasikia "babaaa nisaidie home work, mar babaaa mtoto anapatikanaje...."
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani umenifanya nicheke!!
Haya nasubiri thread yako, nitalia kweli siku hiyo.
Nitajitoa halafu naibuka na new ID....sasa changamoto kuuacha u-nshomile....utanishtukia tu!
 
Nitajitoa halafu naibuka na new ID....sasa changamoto kuuacha u-nshomile....utanishtukia tu!
Yani nitakukamata alafu nakupa tit for tat. Ila ni kama kaujanja fulani ili mtu aje na id mpya, ili msishtuke maana mtakuwa mnajua yule alishajitoa.
 
Back
Top Bottom