Duuuh! Hivi kutongoza nayo ni hobi eeh!!Nilijua tuna kazi pale nilipoambiwa kuna wanaume inabidi wabadili ID kukimbia wanawake wanaowatongoza humu!
Ntakusemea kwa wifi.Haha kazi sio kidogo...!
Oooh!! Jitahidi this time usikosee, lasivyo bora uache nikutongoze mwenyewe.ID ya zamani nilikutongoza vizuri nikakosea jambo moja tu ukanikataa sasa nimekuja upya
Umeniquote bahati mbaya au ulimaanisha mkuu?espy mbn unanifuatilia hv [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] umenifuata had huku
Ni zaidi ya hobi wengine ndio wanatafuta wake wema wao, So mtupe ushirikiano wakutosha.Duuuh! Hivi kutongoza nayo ni hobi eeh!!
Mbona mimi hamnitongozi sasa[emoji57] [emoji57] [emoji57]Kwetu sisi wanaume ni lazima, sio hobby!
Wewe naacha unitongoze kwa ile id yangu nyingine, and things are going good[emoji12]Mimi naomba nitongoze tuone kama utanipata.....
Yule mtazama isidingo, sio yule mwingine.Yupi....!
Ndio maana nilifungua id ambayo am only 22[emoji12]Wewe umezeeka.....ππ