Ndiyo kule mtu anashangaa huyu mtu alikuwa ananitongoza ila kakatisha gafla. Ni mambo kama hayaDuh thats a disaster......unapewa namba smartphone inadadavua 'wife'....🙁
Nami nafungua id mpya nikaweke bandiko.Is it a coincidence? Kila anaetafuta ni mpya....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Japo mii sio mchokozi ila ntaongeza umakini nisikuchanganyie lugha haha haa
Yeah nakumbuka, ila hilo angalizo lako kwakweli itabidi nilisahau kidogo.Unakumbuka nilitoa angalizo 'old IDs only'
Mahabaaaa love wangu siku zako zinaendaje?Shikamoo manga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16]. Unaomba utumiwe namba. Ukirushiwa ya wife au sister. Ndiyo maana watu wanabadilisha I'd wengine wanazitelekeza
Bola eti umefunguliwa uzi hafu jamaa kanuna ni kweli?mm apa
Wakati wewe ndio target!!Hunipati..
Manga vipi... naona mnaitana mahaba na mamdogo vipi unajua taratibu za mahari za kikwetu lakini!Mahabaaaa love wangu siku zako zinaendaje?
Tusifanyeane hivi bwana.... ila ID mpya mnafikiri ni nyie wanawake tu hata kwetu ni za kuepuka maana JF kuchorana ni kwingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakurushia namba ya housegirl au nampanga mtu nakutumia namba yake, jina linasoma lingineee.
Mie ndio maana naicheki kwanza ni ya lini, siitambui, nauchuna kama sijaona.Tusifanyeane hivi bwana.... ila ID mpya mnafikiri ni nyie wanawake tu hata kwetu ni za kuepuka maana JF kuchorana ni kwingi
Acha ukatili wa kijinsia bwana. Hata akitanguliza vinoti!Mie ndio maana naicheki kwanza ni ya lini, siitambui, nauchuna kama sijaona.
Juzi kati niliingia kuperuzi tu nikakutana na neno lake hilo khaa nikashindwa nakazama tu kumpa likeHii nayo mpya lakini imechangamka!