Nishirikishe maombi mkuuHehe nitaanza kukesha kwa maombi nipate maono
Tulia hivyo baadae niulize tu yaliishia wapi.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hahahaaa! Hauyapati ng'ooo!Hehe nitaanza kukesha kwa maombi nipate maono
Naahidi sitakuangusha... not to zat eksitentHewaala. Mwaka wa neema bwana huu. Uchungulie kama ni utepe nafikiri mkasi wako sio butu
Daaaaaahhhh hiyo kitu si ina harufu sana, unafanyaje ukaguzi sasa au ndiyo maana big G hazikosi mdomoniUkipiga kama hii, ule ukuta huwezi kuuona
Utaweza kunena kwa lugha maana haya mambo ya nahitaji imani isiyo habaNishirikishe maombi mkuu
Hiyo pass ya kutoka kwa suarez neymar ushindwe mwenyewe
Nimekumiss pia anko wa rafiki yangu jamani. Si Ndio Maana nikakuchek pale Ili upitishe na salamu kwa shemela wangu.Kwa hiyo mimi haujanimiss Umemmiss ivuga tu! Haya namwachia mola
Usijali bhana... we ushakuwa mkubwa sasa bhana....
Ha ha haaa ulitamani uaze upyaa ha haHa ha ha ha yaani badala ya ku-pm mchepuko akaku-pm wewe!
Enzi za ujana nilikuwa nachat na demu na mshkaji at the same time, namsimulia rafiki jinsi mtoto alivyo mtamu! Lahaula ile meseji nikamtumia huyo demu! Bahati nzuri nilikuwa namsifia ingawa ni too much details!
Subili kidogo ntakujibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini sasa Manga??
Sie twapendana tuu upendo wa agape...Hafu mimi nikisema Nakupenda unasema nachanganyikiwa haya nyie mnapendanaje?