Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Ukipiga kama hii, ule ukuta huwezi kuuona
images
Daaaaaahhhh hiyo kitu si ina harufu sana, unafanyaje ukaguzi sasa au ndiyo maana big G hazikosi mdomoni
 
Kwa hiyo mimi haujanimiss Umemmiss ivuga tu! Haya namwachia mola
Nimekumiss pia anko wa rafiki yangu jamani. Si Ndio Maana nikakuchek pale Ili upitishe na salamu kwa shemela wangu.
 
Ha ha ha ha yaani badala ya ku-pm mchepuko akaku-pm wewe!

Enzi za ujana nilikuwa nachat na demu na mshkaji at the same time, namsimulia rafiki jinsi mtoto alivyo mtamu! Lahaula ile meseji nikamtumia huyo demu! Bahati nzuri nilikuwa namsifia ingawa ni too much details!
Ha ha haaa ulitamani uaze upyaa ha ha
 
Kumbe jibu unalo. Labda utongoze nisikushuhudie, lasivyo lazima nikuharibie, bado nina machungu kwa uliyonitenda siku ileeeee!
Hio siku ulikuwa unatumia ID gani?
 
Back
Top Bottom