Sitaki Hata kuzisikia. Na sijui hukumu yake huwa niniKesi za hivi hukumu zake tamu sana
Hivi kumbe nawe huwa unakuwa romantic[emoji134] [emoji134] [emoji134]Pretty dont listen to her.....
Sasa hapa ndiyo upate ile kitu cha Malawi, mbona boxer inapaaFanya hima hasa kipindi hiki cha mvua... Unajibebea kilainiiii
Relato jamani... hebu piga moyo konde tuyajenge yetu mama...Naona hakuna kesi tena hapo.
Au kesi ya mbuzi wa bwana eli Kala mchicha wa bwana eli
Rrondo ina maana gani?Haijawahi kuwa kuwa P. Ila 99% ya watu wanaikosea na kuita P coz logically if not P ingekuwa single R.
Mkuu, ile P ya mwanzo ilienda wapi?Wewe mama nitakuweka 'ignore list' sasa maanake sipumui....
Hahahahahaaa... kitu orijinale...Sasa hapa ndiyo upate ile kitu cha Malawi, mbona boxer inapaa
Aisee sikutegemea jibu uliotoa wewe ni kichwa na mjuviKizuri mtu hula na nduguye bhana
Weeee ukaguzi lazima.....Ndio basi tena!
Ndio nimechagua kuwekeza hapo.Hizi juhudi za kunibania ungewekeza kwenye uzalishaji unngekuwa female MO Dewji..
Sharing is caring bhana...Aisee sikutegemea jibu uliotoa wewe ni kichwa na mjuvi
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Naona hakuna kesi tena hapo.
Au kesi ya mbuzi wa bwana eli Kala mchicha wa bwana eli
Inaonyesha wee unapenda sana maeneo ya mawasilianoJamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..