Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Hakuna kuacha ku-comment humu miaka na miakaUfafanuzi please...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kuacha ku-comment humu miaka na miakaUfafanuzi please...
Eeeh shurti kila siku unimiss zaidi ya janaSasa mbona nakumiso, au kila siku mpya wewe?
Ekzakitile mkuu, we unaonajeMwanyasi naona you're trying to drive all points at home haha
Sina neno juu ya hii hoja mubashara...Ekzakitile mkuu, we unaonaje
Huu udungu wanaotulazimishia sijui wana mpango gani!!Alishasema me dada ake ata daby anajua
Wewe huyoooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie ndio ile nimeanza mahusiano six mwishoni nikamrushia sista msg ya bf, weeeh nilitamani niruke nikaidake msg. Sitasahau aisee hicho kikao kilichokaa.
Kwani mimi nimekulazimishia... tuache basi wetu kuanzia leoHuu udungu wanaotulazimishia sijui wana mpango gani!!
Hi dota!Habari za leo mzee mwenzangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe huyoooooo
Hi mommaHi dota!
Ukiona mtu anan'gan'gania kwenye fuso ujue kuna furushi lake la viazi vitamu
Haha usiombe kupatwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You can just emagine nilivyokuwa mdogo, yaani usiku sikulala nawaza tu litalonikuta.
Huyu ni wa upande wetu swahiba... tunaweza kufanya naye mambo yetu yale ya caring
Haha nikajua wa upande ule nilipige kwapani file lake basi kapona.Huyu ni wa upande wetu swahiba... tunaweza kufanya naye mambo yetu yale ya caring
![]()