Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
We njoo mke haukosi huku, mkataa kwao mtumwa.[emoji3][emoji3] betrayal of the city kama sio village hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We njoo mke haukosi huku, mkataa kwao mtumwa.[emoji3][emoji3] betrayal of the city kama sio village hahaha
Ondoa hofu maisha ni mepesi sana ukienda nayo sawa karibuSawa lkn mmmh
Pole yao sana mahondaw wangu... Kuna siku i told u.. Huyo anayeandika upuuzi about Smart911 na mahondaw ni fulani... Ukawa unabisha... Ila ukaja prove ni kweli...Mpaka mtu kutafuta id mpya mhmmhmhmhmh Iko namna hapa si bure ..
Na wengine tu wana mission zao kwa hizo different id's
Poleni sana
Cc Smart911
Hahaha mahondaw wangu... Tucheke kwa dhaaraaau... Nilishakuambiaga about this.. Na siyo mmoja... Wapo wengi wengi.. Nakuambiaga huyo fulani huyo na ID nyingine mpotezeee...Tehtehteh
Kuna mmoja huwa anajichanganyaga kweli
Kuna maneno aliyoyazoea kusema kwenye I'd moja sasa akilogin na id nyingine the same maneno hahaha
Smart911 love don't do me id mpya ikanihusu Tehtehteh...
Good evening members!
Wewe na huyo babu yako hizi picha mnatoa wapi?! 🙁
..acheze nalo MayenuAisee huyo dada kamsusia jamaa zigo lote.....🙂😉
Wakubwa wanafaidi bhana...Aisee huyo dada kamsusia jamaa zigo lote.....🙂😉
Nikweli lkn siyamapenziiOndoa hofu maisha ni mepesi sana ukienda nayo sawa karibu
Tumeanzaa kuchat tu umenikimbia au kisa umemuona mtalaka wakoNuksi ya nini pacha?
ahahaha ata mimi nauliziaSasa huyo mmoja mbona bado kavaa skin tight au ina tundu?