Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Mpaka mtu kutafuta id mpya mhmmhmhmhmh Iko namna hapa si bure ..
Na wengine tu wana mission zao kwa hizo different id's
Poleni sana

Cc Smart911
Pole yao sana mahondaw wangu... Kuna siku i told u.. Huyo anayeandika upuuzi about Smart911 na mahondaw ni fulani... Ukawa unabisha... Ila ukaja prove ni kweli...

Nikakuambia as long as ushajua, dawa ni ignore tuu whatever it will be said.. Ignore...

Ni utoto na ujinga tuu...
 
Tehtehteh

Kuna mmoja huwa anajichanganyaga kweli

Kuna maneno aliyoyazoea kusema kwenye I'd moja sasa akilogin na id nyingine the same maneno hahaha

Smart911 love don't do me id mpya ikanihusu Tehtehteh...

Good evening members!
Hahaha mahondaw wangu... Tucheke kwa dhaaraaau... Nilishakuambiaga about this.. Na siyo mmoja... Wapo wengi wengi.. Nakuambiaga huyo fulani huyo na ID nyingine mpotezeee...
 
Midomo ya juu na mdomo wa chini, nani zaidi?
images
Aisee huyo dada kamsusia jamaa zigo lote.....🙂😉
 
Back
Top Bottom