Mkwe umetokea wapi tena[emoji85]Shikamooo....
Nashindwa Hata kuamua[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sijaamini Amua uwezavyo sasa ha haaa
sasa utatongoza mpaka lini? wenzio tuna wajukuu sasaNg'ombe hazeeki maini...🙂🙂
Umenifanya nicheke kwa nguvu usiku huu jamaniHii kitu unafika Washington bila passport wala viza
kweli simkumbukiHa ha haaa
Huenda ila haimaanishi alikua mdogo ndomana nikachekakweli simkumbuki
malizana nae huyo utulie sasaMwenye hio picha namjua....
Kwani mi nimekuitia avatar?? Mi nimeita mtu wa kua mpenzi maswala ya picha ya nani ya nini??Mwenye hio picha namjua....
sikuwai kumuona pm yangu akinitongoza labda amekuwa sasa anatongoza watuHuenda ila haimaanishi alikua mdogo ndomana nikacheka
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Haha eti kwani nimefichwa eti? Eti mbona nipo sana tu etiUpo? Habari za kunyapia nyapia eti zinadai eti umefichwa na @prondo eti...
Mmmh siwezi kukataa tuhuma za kuwa na id mpya [emoji85] [emoji85] ila hii hapanakuna id niliona umeandika jina hili mndali ndanyekolamu
sijui ni wewe maana mwandiko wako naujua[emoji20]
hahhhaah kwannMmmh siwezi kukataa tuhuma za kuwa na id mpya [emoji85] [emoji85] ila hii hapana
sawa endeleaHata mimi nina wajukuu ila maini hayajazeeka...
Ushaharibu mkuuDuh ndio nishaharibu?