Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Kuna dada mmoja hivi nilimzamia inbox nikashusha miswaga yangu ya ki-dar dar mtoto akaingia line mara anacheka mara ananirembulia akanipa namba, huko whatsApp yaani ni full fujo aiseee.Ikapita mda sana sijaona akichangia humu JF nikajua labda haingii JF sikuhizi,sasa juzi nimeikuta ID mpya ina flow swaga kama yule dada...hahahahaha hadi kibwagizo kile kile eti..Muuni nikamzamia PM nikaendelea pale pale nilipoishia kwenye ile ID yake ya mwanzo.Dada akabakiii jamaaani Dead
 
Back
Top Bottom