Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
ha ha ha usinifanyie hivo alafu umeona sasa hii ID yako kwangu mpya!! ina maana utakua nawe umebadili jina eh maana kule sijawahi kugongana na wewe!! hahah.
Alafu kule nilipigwa stop na baba watoto!! nisiingie si unajua balaa la kule full kuamsha vilivyo lala..haha
Kwi kwi kwiii huenda mii ndo nanihii hujui tu mii ndo nakuambia tumegongana mnoo yani vyakutosha.
Kupigwa stop ametenda haki mana kule waeza msingizia shetani buree