Babuu umeshamuona???? Shangazi he shauri yko hawakawii kukupiga faini[emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani wewe hata hatujamaliza kuongea ndiyo umeenda kuianzisha jaman
Halafu muambie nnacho tayari hicho kifua kipanaSasa km umeshagunduaaa napenda vifua vipanaaa........hata kukua pia utakuwa unajua nimekua
Basi sawa myAkaaaaa na .......?
He he he.Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Mfano...ID mpya nyingi zimechangamka sana....ID za zamani zime mute....
Usijali hao ni wangu mie japo watapiga mkwara usiwasikilize utaona wakavyo nyamazaBabuu umeshamuona???? Shangazi he shauri yko hawakawii kukupiga faini
Wanapenda pesa hao si babu mtu wala shangazi mtuuu Urafikiri shetani wao ni wahelaUsijali hao ni wangu mie japo watapiga mkwara usiwasikilize utaona wakavyo nyamaza
Wee mtoto umekumbwa na nini longtimeHe he he.
Ushalikoroga huko.
Tatizo huridhikiiii[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Marahaba mdogo wangu...Nimekumiss pia shikamoo
Ntajie id yako mpyaMfano...
Nakutafuta sana my, nicheki.He he he.
Ushalikoroga huko.
Tatizo huridhikiiii[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Tuta limaliza mii na wewe usihofuWanapenda pesa hao si babu mtu wala shangazi mtuuu Urafikiri shetani wao ni wahela
Hem ning`oneze niijue mpya yakeNakutafuta sana my, nicheki.
Manga C bNtajie id yako mpya
Sawa sister of mineNakutafuta sana my, nicheki.
Hana nyingine.Hem ning`oneze niijue mpya yake
Hii bado haija ingia humu basi wee utakua mtoto mzuri hutuchori kama wengineManga C b