Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Hata mkifumaniana mnachukuliana tu maana mtafanyaje sasa na ndio ishakuwa!!
Hahaha, maana hakuna namna. [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mkifumaniana mnachukuliana tu maana mtafanyaje sasa na ndio ishakuwa!!
Hahahaaaa! Haya ngoja nikakafute.Hakika nimestaajabu yani dah nakuomba kafute kale kaneno basi nnavo penda kutafuna karanga acha tu
Kwa hisani yako.
[emoji15] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Aunty kudirty ndio nini?
Toka sitakiiPacha. Nimekumiss..
Kwakweli.Hahaha, maana hakuna namna. [emoji28]
B dada mamboo za masiku mkongwe?Mimi siwezi hama hapa......na wala ID sibadili......wayiiii...
Akikugusa tu piga kelele nije haiwezekani atake kuwachukua wote ndugu zangu wa kike.
Jitaje puliziii[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji12]Sawa aunty mekuelewa, mimi sikugawi jamani.
Nimekosea kwani?Naona unajipa matumainiii[emoji4]
HapanaaNimekosea kwani?
Manga tayari alishamchukua dada yangu akamrudisha Ngoda hivyo ajaribu ukoo mwingine tuAcha wivu kwa ndugu zako wa kike Njeree [emoji23]
Mmh nn??
Yaani wewe hata hatujamaliza kuongea ndiyo umeenda kuianzisha jaman[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Unamjua[emoji1]Kumbe umedirty na Atoto[emoji15]
Naona umekuaMmh nn??