Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Ndio maana. Puma ipo nije?

Puma nayo nilishaisogeza muda.......nimebakiwa na ile LX V8......ndio naona inastahimili hizi mvua......
Kwa sasa usije maana hata kama unajua kuogelea hutastahimili........ngoja ngoja kwanza......
 
Puma nayo nilishaisogeza muda.......nimebakiwa na ile LX V8......ndio naona inastahimili hizi mvua......
Kwa sasa usije maana hata kama unajua kuogelea hutastahimili........ngoja ngoja kwanza......
Poa....will let u know.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani my ex sijakutusi, ni utani tu baba. Mie nawezaje kukutusi, yaani taanzia wapi kwamfano!!!
Hakika nimestaajabu yani dah nakuomba kafute kale kaneno basi nnavo penda kutafuna karanga acha tu
Kwa hisani yako.
 
Back
Top Bottom