Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Hebu Waambie maana naona kuna watu wamepanic na wametokwa mapovu unaweza kufanya laundry ya mwezi mzima.
Bora hata huyu povu lake linaendana na uzi mwenzangu!! Lile lingine lilikuwa out of topic kabisaaaa! Unaisoma unawaza hivi tuko mada moja kweli!![emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]
 
Bora hata huyu povu lake linaendana na uzi mwenzangu!! Lile lingine lilikuwa out of topic kabisaaaa! Unaisoma unawaza hivi tuko mada moja kweli!![emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]
ID mpya zina mambo....unakuta ni mtu mlivurugana mwaka juzi anakuja kivingine.
 
Ndo nalitaka hilo joto linisambazie upendo asee[emoji8]

Umenifananisha sikamtaja mimi simjui wala si mpendi mii nakupenda wewe tu.

Kama umenitega wewe ndo yule Mungu anakuona.
[emoji8] [emoji118] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli huyo ndio wa kufanana nawe, mchukuane tu for good kama ikitokea.

Hahaha, kufanana haswa kila kitu mpaka tabia. Na mauza mauza yenu basi mchukuliane tu hivyo hivyo, vipofu muongozane,Tehe! [emoji28]
 
Bora hata huyu povu lake linaendana na uzi mwenzangu!! Lile lingine lilikuwa out of topic kabisaaaa! Unaisoma unawaza hivi tuko mada moja kweli!![emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

W'suup dude, is you aait! [emoji125]
 
Yaani sipatii picha humo ndani kutakavyokuwa, yaani ni ile nipe nikupe. Saaaaaafi kabisa. Katoa wazo zuri kwakweli.
Nipe nikupe bandika bandua kwa kwenda mbele. Hatari lakini I hope itakuwa salama.
Wazo mubashara kabisa kwa kweli. [emoji106] [emoji122]
 
Back
Top Bottom