Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli huyo ndio wa kufanana nawe, mchukuane tu for good kama ikitokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bora hata huyu povu lake linaendana na uzi mwenzangu!! Lile lingine lilikuwa out of topic kabisaaaa! Unaisoma unawaza hivi tuko mada moja kweli!![emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]Hebu Waambie maana naona kuna watu wamepanic na wametokwa mapovu unaweza kufanya laundry ya mwezi mzima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na ntachanganyikiwa kweli mtu sijui umenitupia nini kila mahala sikubaliki nilegezee bhanaa
ID mpya zina mambo....unakuta ni mtu mlivurugana mwaka juzi anakuja kivingine.Bora hata huyu povu lake linaendana na uzi mwenzangu!! Lile lingine lilikuwa out of topic kabisaaaa! Unaisoma unawaza hivi tuko mada moja kweli!![emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]
[emoji8] [emoji118] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndo nalitaka hilo joto linisambazie upendo asee[emoji8]
Umenifananisha sikamtaja mimi simjui wala si mpendi mii nakupenda wewe tu.
Kama umenitega wewe ndo yule Mungu anakuona.
[emoji109] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ngoja nikanywe maziwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushamuachia mangapi mpaka sasa hivi? Atakuchoka sasa!!
Ndo unakuja kunilegeza?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli huyo ndio wa kufanana nawe, mchukuane tu for good kama ikitokea.
Mh kumbeee nang`ang`ana huenda ikawaHahahaaaaaaaaaaa!!!!
Aunty habari za jioni?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa!Ndo unakuja kunilegeza?
Yaani sipatii picha humo ndani kutakavyokuwa, yaani ni ile nipe nikupe. Saaaaaafi kabisa. Katoa wazo zuri kwakweli.Hahaha, kufanana haswa kila kitu mpaka tabia. Na mauza mauza yenu basi mchukuliane tu hivyo hivyo, vipofu muongozane,Tehe! [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora hata huyu povu lake linaendana na uzi mwenzangu!! Lile lingine lilikuwa out of topic kabisaaaa! Unaisoma unawaza hivi tuko mada moja kweli!![emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]
Nipe nikupe bandika bandua kwa kwenda mbele. Hatari lakini I hope itakuwa salama.Yaani sipatii picha humo ndani kutakavyokuwa, yaani ni ile nipe nikupe. Saaaaaafi kabisa. Katoa wazo zuri kwakweli.
Nimekoma mazima sio kwa tusi hiloHahahaaaa! Yo nuts haki tena!!
Mie siwezi kukulegeza my ex, sio kazi yangu hiyo tena.