Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,683
- 4,900
Na Utachapwa kweli... Tashiriki kukuchongea na nikitumwa fimbo naletaaa bongez La mfimboo[emoji23]Hahaha!, uwiii!, espy mwenzio leo ntachapwaa! nikirudi nyumbani, sio kwa maujumbe haya! [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Utachapwa kweli... Tashiriki kukuchongea na nikitumwa fimbo naletaaa bongez La mfimboo[emoji23]Hahaha!, uwiii!, espy mwenzio leo ntachapwaa! nikirudi nyumbani, sio kwa maujumbe haya! [emoji28]
Nzuriii aunt yanguuAunty habari za jioni?
Safi kabisa Mrembo but umeadimikaMimi siwezi hama hapa......na wala ID sibadili......wayiiii...
Umenipiga mweleka lengo langu ni zuri kwao na kwako lakiniAkikugusa tu piga kelele nije haiwezekani atake kuwachukua wote ndugu zangu wa kike.
[emoji5] [emoji5] [emoji5]Aunty kudirty ndio nini?
Na Utachapwa kweli... Tashiriki kukuchongea na nikitumwa fimbo naletaaa bongez La mfimboo[emoji23]
Sasa km umeshagunduaaa napenda vifua vipanaaa........hata kukua pia utakuwa unajua nimekuaNaona umekua
Akaaaaa na .......?Unamjua[emoji1]
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahahaaaa! Haya ngoja nikakafute.
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Hapanaa
Puma nayo nilishaisogeza muda.......nimebakiwa na ile LX V8......ndio naona inastahimili hizi mvua......
Kwa sasa usije maana hata kama unajua kuogelea hutastahimili........ngoja ngoja kwanza......
Sawa anko..Akikugusa tu piga kelele nije haiwezekani atake kuwachukua wote ndugu zangu wa kike.
Yani mimi na huo ukoo wenu mtaniua tu ntabaki na nyieManga tayari alishamchukua dada yangu akamrudisha Ngoda hivyo ajaribu ukoo mwingine tu