Teh don't worry mylove mie teinaaaaaaaa lot nafunga domo langu mie though sometimes khakhaakhaa unisamehe buree tu you know vile niko na jealous eeeh!
I love you so much my Smart911
[HASHTAG]#Bakinamimibaby[/HASHTAG]
Acha tu mkuu kuna mtu ana kesi namsubili kwanza elewa tu umeona palefu au kuna lilokupata mpaka ukapata hili wazoKivipi mkuu?!
Tuambie watumia ipiumeridhika sasa?
mie sina mkuu na hii tu.. nilifunguaga mods wabaya wakaunganisha acha nionekane kituko sina hamuTuambie watumia ipi
Ndo nnacho ugopa mana kuna nliona wameunganishwa asa sijui ni ukichangia uzi mmoja na id zote 2 adi raha ukiungwa ha ha haaaa unapost na id hii unaquatiw na id ingine kitukooooomie sina mkuu na hii tu.. nilifunguaga mods wabaya wakaunganisha acha nionekane kituko sina hamu
Kwa nini hua zinaungwa sasa?Hapana. Ila najua haya mambo yapo...
Nahisi ulitamani ukimbie na hakuna ane kuona dah uongo ukigundulika ni mbaya sana haha haa haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mie sina mkuu na hii tu.. nilifunguaga mods wabaya wakaunganisha acha nionekane kituko sina hamu
Hahaha miss changa nakumbuka siku ile mods walivyokutendamie sina mkuu na hii tu.. nilifunguaga mods wabaya wakaunganisha acha nionekane kituko sina hamu
ha hahaha na lengo langu alikutimia .. nilitaka kuibarasa hii ya miss chagga sasa nikatumia njia mbovu acha waniweke uchi ha hahahaHahaha miss changa nakumbuka siku ile mods walivyokutenda
Yani nilicheka siku ile, aisee mods hawafai.ha hahaha na lengo langu alikutimia .. nilitaka kuibarasa hii ya miss chagga sasa nikatumia njia mbovu acha waniweke uchi ha hahaha
hahaha siwataki hata kuwasikiaYani nilicheka siku ile, aisee mods hawafai.
NimekupataKuna mtu anabadili ID ili awasumbue wengine. Mfano watu wamegombana mtu anafungua ID ingine amtukane mwenzie hapo MOD lazima waiunge.
Teh!, Tehe! [emoji2]For sure thats destiny my dear, maana kila mnapokwenda bado mnaandamana.
Nipo mpendwa Ubusy tu.Mpendwa upo?! Nimekutafuta nikupeleke lunch leo sikufanikiwa kukupata...