Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Teh don't worry mylove mie teinaaaaaaaa lot nafunga domo langu mie though sometimes khakhaakhaa unisamehe buree tu you know vile niko na jealous eeeh!
I love you so much my Smart911

[HASHTAG]#Bakinamimibaby[/HASHTAG]

I know you vizuri sana mahondaw ... una wivu sana... but i know how to calm you down...
 
mie sina mkuu na hii tu.. nilifunguaga mods wabaya wakaunganisha acha nionekane kituko sina hamu
Ndo nnacho ugopa mana kuna nliona wameunganishwa asa sijui ni ukichangia uzi mmoja na id zote 2 adi raha ukiungwa ha ha haaaa unapost na id hii unaquatiw na id ingine kitukooooo
 
Mlioko "jiji hili" tutafutane.....
34i3exk.jpg
Asprin upo jijini "hapa"?
 
Back
Top Bottom