Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nitaiba namba yake kwenye simu yako, nikienda namtafuta.Wewe utaharibu. Ilimradi tumeshakubaliana utani usivuke mipaka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaiba namba yake kwenye simu yako, nikienda namtafuta.Wewe utaharibu. Ilimradi tumeshakubaliana utani usivuke mipaka tu
Mtajeeeeeeeee!Hahaaaaa. "If wishes were horses"[emoji4]
Daby nami nimeipata hiyo.. Ila to be honesty humu kuna "kila kitu" talking from experience kuna watu wema wengi tu humu. Washauri na wafariji wazuri sanaaaa.
Nikijua ile ID yake ya zamani namtajaaa[emoji23]
Walai bora ulikuwa wa kike wewe. Ungekuwa mwanaume ungekuwa unatuibia wanawake wetu hata sisi kakazakoNitaiba namba yake kwenye simu yako, nikienda namtafuta.
Tena kaandae haraka kabla haujakumbuka na kunidai mchango.Acha nikapange pange taratibu za sherehe bwana
Marahaba haujambo.
Daby mshitue RRONDO... Ili a keep records huko.Unaweza kuta kwa zile id zangu zingine karibia nakukubalia au niashakukubali kabisa.
Wewe nakujua bahili michango hautoi. Kibarua chako vigelegele hadi ulimi uote sugu [emoji16][emoji16]Tena kaandae haraka kabla haujakumbuka na kunidai mchango.
Mweeeeeeeeh!!!Kama huyu dada yangu espy yupo vizuri saana. Ukiwa na tatizo Muone
Huyu unakosea kumstua huwa anaenda taratibu na atataja kila kitu. Twende naye tuDaby mshitue RRONDO... Ili a keep records huko.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Walai bora ulikuwa wa kike wewe. Ungekuwa mwanaume ungekuwa unatuibia wanawake wetu hata sisi kakazako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Daby mshitue RRONDO... Ili a keep records huko.
Mmh. Uwataje basi kama wengine tupo tukapate vibalimi vya moto kwa mtogole barMweeeeeeeeh!!!
Sio siri humu kuna watu hataaa haujutii kufahamiana nao, daaah long live jf.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Wewe nakujua bahili michango hautoi. Kibarua chako vigelegele hadi ulimi uote sugu [emoji16][emoji16]
Haha na wewe ni mhangaHahaha mbona mchana kweupe lakini tunamulikana kwa tochiii jaman ebu mtuache kwanza tubadilishe upepo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
100% nakubaliana na wewe, huyo dadako sio mchezo.. Na Shemejio ujue anafaidi sana.. Yaani lazima atakuwa hachoki kuwahi home. [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama huyu dada yangu espy yupo vizuri saana. Ukiwa na tatizo Muone
Usije kabisa. Na nitaweka ulinzi[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Na vigelegele sipigiiii.
Mdogo wangu ubahiri wako ndio ulimuondoa, sasa hivi kwa raha zangu naitwa mama mkubwa[emoji12]Simwagi mtama kwenye kuku wengi....
Sahau[emoji57]Huyu unakosea kumstua huwa anaenda taratibu na atataja kila kitu. Twende naye tu
Haha.. huwa napenda kutumia msemo kwanini wote wazuri ni dada zangu. Na ndicho kilichonikuta mimi.100% nakubaliana na wewe, huyo dadako sio mchezo.. Na Shemejio ujue anafaidi sana.. Yaani lazima atakuwa hachoki kuwahi home. [emoji125] [emoji125] [emoji125]