Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseeh nimeuona huo uzi nipo page ya 32 ngoja nitaleta mrejesho.Huu uzi umepoa kwasababu watu wameamua kwenda kufanya practical matokeo yake ni mabaya sana. Pita kule love connect kuna moto umewaka na ban zimetembea za kutosha.
Jovitha ni old timer!!! Au umempendelea kwakuwa pacha wako?
Sasa mdogo wangu hebu tuongee vizuri, hilo penzi jipya gani lililokuchanganya hivyo hadi utangaze ndoa!! Au ni mkenya?Kwema lkn! Mbona uzi umepoa hivi
Tuuendelezi Ngoda maana naona umeanza kule impact. Nimepita love connect nimekutana na stori mpya sijawahi zisikia.Daby huu Uzi uliitwa Makapuku season 2. RRONDO Alishiriki kuutelekeza.
Jovitha na wengineo ni kundi lenu warembo....Jovitha ni old timer!!! Au umempendelea kwakuwa pacha wako?
Ufanye uwe active bwana, story zetu tunapigia humu, maana kuna muda unaingia jf alafu hata huoni uzi wa kuchangia. Na wengine ndio mtandao wetu pendwa huu.
Nalendwa leo sijui kafichwa na nani!! Daby kaopoa sijui toto la wapi karudi kutangaza ndoa, nimemuomba anisaidie kukushawishi na wewe sasa.
Hahaaaa!! Practical gani? Ya kufungua new ids au?Huu uzi umepoa kwasababu watu wameamua kwenda kufanya practical matokeo yake ni mabaya sana. Pita kule love connect kuna moto umewaka na ban zimetembea za kutosha.
Sema leo tulitekwa kule love connect maana ule ubuyu ulikuwa wa motooo.Daby huu Uzi uliitwa Makapuku season 2. RRONDO Alishiriki kuutelekeza.
Ujue nimepitia ule uzi nikapata msemo mmoja.Jovitha ni old timer!!! Au umempendelea kwakuwa pacha wako?
Ufanye uwe active bwana, story zetu tunapigia humu, maana kuna muda unaingia jf alafu hata huoni uzi wa kuchangia. Na wengine ndio mtandao wetu pendwa huu.
Nalendwa leo sijui kafichwa na nani!! Daby kaopoa sijui toto la wapi karudi kutangaza ndoa, nimemuomba anisaidie kukushawishi na wewe sasa.
Sijatangaza ndoa bwana. Ila nime predict utangazwaji wa ndoa. Hivi sister hili zoezi la watumishi hewa halijakupitia? Maana mmmhSasa mdogo wangu hebu tuongee vizuri, hilo penzi jipya gani lililokuchanganya hivyo hadi utangaze ndoa!! Au ni mkenya?
Umejifunza nini?[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji85] [emoji85]Tuuendelezi Ngoda maana naona umeanza kule impact. Nimepita love connect nimekutana na stori mpya sijawahi zisikia.
Ila nimejifunza kitu JF baada ya kuupitia huo uzi
JF kuna watu wamekuja kutafuta ndoa. Na watu wenye utani kama mimi huwa tunawakera saana.Umejifunza nini?[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji85] [emoji85]
Kwakweli kama wewe tunaomba tu utuwekee list yako humu, maana hatuchelewi kukuta kijiji kizima tupo kwenye list moja[emoji134] [emoji134] [emoji134]Ujue nimepitia ule uzi nikapata msemo mmoja.
Watu wengine wapo serious JF lakini sisi huwa tunawa ektia.
Mie tena ndio mhakiki mwenyewe.Sijatangaza ndoa bwana. Ila nime predict utangazwaji wa ndoa. Hivi sister hili zoezi la watumishi hewa halijakupitia? Maana mmmh
Sasa wewe utakwepoje kwenye list yangu. Au unataka tutende dhambi ya mileleKwakweli kama wewe tunaomba tu utuwekee list yako humu, maana hatuchelewi kukuta kijiji kizima tupo kwenye list moja[emoji134] [emoji134] [emoji134]