Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Hii hatua Mungu akijalia wengi watapitia, unaachwa peke yako watoto wote wanaondoka...
Hongereni mama zetu espy Nalendwa Jovitha Heaven Sent Numbisa na wengine wote
Kikubwa kilichoko hapo kwenye mchoro ni kuwa siku ya kina mama, watoto wanakwenda home na kupiga picha na mama kisha wanaondoka na kumwacha peke yake.
Kwa maana ingine kupost picha za kina mama zetu kwenye mitandao ili kuonesha kama tunawajali na kuwakumbuka kumbe mbwembwe tu na misifa yetu.

Ukweli Mchungu....
 
Hii hatua Mungu akijalia wengi watapitia, unaachwa peke yako watoto wote wanaondoka...
Hongereni mama zetu espy Nalendwa Jovitha Heaven Sent Numbisa na wengine wote
Amen, Mungu atujaalie kwa wakati wake. Ila ndo wakianza kuondoka roho inaumaje tena.

One of my aunts na yeye ameshatorokwa, ila mwenyewe ikifika weekend anaombaga tu aletewe wajukuu zake wakae naye. ile jumapili jioni wanachukuliwa as weekdays wanakuwa wanaenda shule, huo muda sasa wakiwa wanaondoka, unaona kabisa aunt anavyojikaza asitoe machozi
 
Kwakweli its about time tufungue mpyaaaaa, za 2017 alafu nakuwa nina only 23yrs, nshomile lazima auvae mkenge.
Mimi ID yangu ni hii hii na nipo active vizuri tu labda hatujagongana, sina hofu mmama mimi. Kuna watu wazima wenzetu wengi tu wanatupenda sisi wamama because of our age, tupo mature. a.k.a old wine lol
Hakuna namna zaidi ya kujipa promo, maana akina RRONDO wanavyotunanga na uzee wetu!!
Hahahha sasa hamtoonana nje ya jf? Maana sio mtu ajue anakutana na katoto kabichi only kukutana na bibi kigagula
kigagula.jpg
 

Attachments

  • 9318214-Grandmother-holding-a-cane-on-white-background-Stock-Photo-old-woman-grandmother.jpg
    9318214-Grandmother-holding-a-cane-on-white-background-Stock-Photo-old-woman-grandmother.jpg
    50.2 KB · Views: 25
Back
Top Bottom