Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Kikubwa kilichoko hapo kwenye mchoro ni kuwa siku ya kina mama, watoto wanakwenda home na kupiga picha na mama kisha wanaondoka na kumwacha peke yake.Hii hatua Mungu akijalia wengi watapitia, unaachwa peke yako watoto wote wanaondoka...
Hongereni mama zetu espy Nalendwa Jovitha Heaven Sent Numbisa na wengine wote
Kwa maana ingine kupost picha za kina mama zetu kwenye mitandao ili kuonesha kama tunawajali na kuwakumbuka kumbe mbwembwe tu na misifa yetu.
Ukweli Mchungu....
