Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upo vizuri
14726372_1758731357709651_1703976567576723456_n.jpg

Uliniona nilipokuwa nimekaaa?
 
Naona Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wapepewa gari jipya
Maswali mawili tu...
1.Waziri na dereva wake wanaenea humo?
2.Kanatumia siku ngapi kufika Dodoma?

[HASHTAG]#TeamBabyWalker[/HASHTAG]
 
Maswali mawili tu...
1.Waziri na dereva wake wanaenea humo?
2.Kanatumia siku ngapi kufika Dodoma?

[HASHTAG]#TeamBabyWalker[/HASHTAG]
Dereva anakaa pekeake mbele...
Toka dar wanalala chalinze, kisha wanalala tena Morogoro siku ya tatu saa nne usiku wanaingia Dodoma.

Eeee tunabana matumizi hatupendi kutumia ma V8...
Walau zile nights siyo gharama maana ni 120k/night

Sent from my HUAWEI G6-U10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom