Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Kwetu silijui hili jinaKigagula kwetu ni mchawi....huko kwenu ina maana gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu silijui hili jinaKigagula kwetu ni mchawi....huko kwenu ina maana gani?
Ooooh jmn pacha wangu nimekumisssJibu hilo pacha...
Bora umenisaidia kuuliza, mie nilijua ni kinyakyusa.Kigagula kwetu ni mchawi....huko kwenu ina maana gani?
Aaah hilo ni gutambi.Una utani na wenye vitambi?
Haha kwa tafsiri sahihi kabisa ni mchawi. Ila hawa watoto zetu wa dot com wanalitumia kumaanisha bibi kizeeBora umenisaidia kuuliza, mie nilijua ni kinyakyusa.
Kama la kaka yako mito?Aaah hilo ni gutambi.
Ndo hiyo hiyo bana, ila katukimbia kwa mudaHivi ID mpya ya huyu jamaa ni ipi?
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ilibidi niweke rekodi sawa nijue ni wapi huko watu wanatamani kuwa wachawi!🙂🙂
Hahahaaaa!! Nitakusemea kwa kaka yangu[emoji57]Kama la kaka yako mito?
Hana nyingine, ni hiyo hiyo moja. Kupotea kawaida yake.Hivi ID mpya ya huyu jamaa ni ipi?
Kama namuona nshomile yule na "semos" yake na hili baridiHahahaaaa!! Nitakusemea kwa kaka yangu[emoji57]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama namuona nshomile yule na "semos" yake na hili baridi
Yani nikikumbukaga nacheka hadi basi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umenikumbusha 'semosi'. Alafu leo kanajifanya kajanjaaaa.
Kwema lkn! Mbona uzi umepoa hiviKitambi asubuhiiii.....