Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu kwenye mjadala hii mada iko zaidi ya hapoHongera sana kwa kupata ndoa. Habari za muda wewe?
Done. .....Number 2 sounds great....🙂🙂
Nilitegemea...Number 2 sounds great....🙂🙂
Haielezeki yani, sisi tuliofika ndo tunajua raha yakeKufika raha sana....
Yani zaidi ya sana.....Kufika raha sana....
MmeanzaaaYani zaidi ya sana.....
Ha haa haaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hasa mfike pamoja hiyo ndiyo raha ya safariHaielezeki yani, sisi tuliofika ndo tunajua raha yake
Waoneeeee[emoji33] [emoji33]Ha haa haaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hasa mfike pamoja hiyo ndiyo raha ya safari
Kwa raha zenu....
Hatujaanza "tumemalizaaa"....Mmeanzaaa
Ah okey. Sorry nimevamia kumbe.sikuwa najua. Ahsante kwa kunikaribishaKaribu kwenye mjadala hii mada iko zaidi ya hapo
Uliniona nilipokuwa nimekaaa?Nilikua kwenye kamati ya vinywaji kwenye hii harusi,mbwembwe muhimu
Asprin ndo kamera man hapo
View attachment 507954
