Mliobadili ID....

Hahaha mbona mchana kweupe lakini tunamulikana kwa tochiii jaman ebu mtuache kwanza tubadilishe upepo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe nakujua bahili michango hautoi. Kibarua chako vigelegele hadi ulimi uote sugu [emoji16][emoji16]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Na vigelegele sipigiiii.
 
100% nakubaliana na wewe, huyo dadako sio mchezo.. Na Shemejio ujue anafaidi sana.. Yaani lazima atakuwa hachoki kuwahi home. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha.. huwa napenda kutumia msemo kwanini wote wazuri ni dada zangu. Na ndicho kilichonikuta mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…