Aisee, wewe mtu umeadimika kama mizizi ya jiwe! Upo? Nadhani mvua hizi zimeangusha mikonga yote ya simu huko Yaenda, ndio maana ukaadimika kiasi hiki; na hivi WI-FI hazikamati huko, ni shida!
Haha. .. leo ukoo wangu umechezea ban aseeh.Daby uzuri humu hata ukila ban we unachofanya unaenda tu Ku review kwenye orodha ya ID's zako kisha unaingia kivingine.
Leo kuna Ujio flan una reflect hizi ban za Leo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Safi habali ya kupotea kidogoHaha.. Manga ni vipi aseeh
Nzuri aseeh.Safi habali ya kupotea kidogo
Aisee inabidi nipate kwanza ndo niongezeNzuri aseeh.
Vipi haujaniongezea shemeji?
Daby kwani ukoo wako hauna zile ID's zao za umri ule ule?[emoji23] [emoji23] mbona wapo wanabarizi tu kivingine.Haha. .. leo ukoo wangu umechezea ban aseeh.
Haha.. wewe silence killer aseehAisee inabidi nipate kwanza ndo niongeze
Nimeshakutana na wawili tena wa kike wa kiume wa gumu kutambulisha I'd zao mpyaDaby kwani ukoo wako hauna zile ID's zao za umri ule ule?[emoji23] [emoji23] mbona wapo wanabarizi tu kivingine.
Hapana nna bahati mbaya sana ya kuonana na mtu mmoja kila id nnayo jaribu nakuja kugundua ndo yuleyule najinyamazia tu sasa mana hata hiyo ya karanga2 nnashaka nayoHaha.. wewe silence killer aseeh
Jovitha ni old timer!!! Au umempendelea kwakuwa pacha wako?
Ufanye uwe active bwana, story zetu tunapigia humu, maana kuna muda unaingia jf alafu hata huoni uzi wa kuchangia. Na wengine ndio mtandao wetu pendwa huu.
Nalendwa leo sijui kafichwa na nani!! Daby kaopoa sijui toto la wapi karudi kutangaza ndoa, nimemuomba anisaidie kukushawishi na wewe sasa.
Mkuu kuna sakata limetokea hizi siku mbili tatu na wewe umepotea hizi siku mbili tatu....kuna uhusiano wowote wa kupotea kwako na hili sakata?Hapana nna bahati mbaya sana ya kuonana na mtu mmoja kila id nnayo jaribu nakuja kugundua ndo yuleyule najinyamazia tu sasa mana hata hiyo ya karanga2 nnashaka nayo
Acha tu kuna mtu hapo juu ananifanya nisilaleWewe hulali au uko Australia?
Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisaDuh kweli kwenye miti hamna wajenzi!