Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Daby uzuri humu hata ukila ban we unachofanya unaenda tu Ku review kwenye orodha ya ID's zako kisha unaingia kivingine.

Leo kuna Ujio flan una reflect hizi ban za Leo.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daby uzuri humu hata ukila ban we unachofanya unaenda tu Ku review kwenye orodha ya ID's zako kisha unaingia kivingine.

Leo kuna Ujio flan una reflect hizi ban za Leo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha. .. leo ukoo wangu umechezea ban aseeh.
 
Haha.. wewe silence killer aseeh
Hapana nna bahati mbaya sana ya kuonana na mtu mmoja kila id nnayo jaribu nakuja kugundua ndo yuleyule najinyamazia tu sasa mana hata hiyo ya karanga2 nnashaka nayo
 
Jovitha ni old timer!!! Au umempendelea kwakuwa pacha wako?
Ufanye uwe active bwana, story zetu tunapigia humu, maana kuna muda unaingia jf alafu hata huoni uzi wa kuchangia. Na wengine ndio mtandao wetu pendwa huu.

Nalendwa leo sijui kafichwa na nani!! Daby kaopoa sijui toto la wapi karudi kutangaza ndoa, nimemuomba anisaidie kukushawishi na wewe sasa.

Kumbe mdogo wako kaopoa?, mpe hongera! 🙂
 
Hapana nna bahati mbaya sana ya kuonana na mtu mmoja kila id nnayo jaribu nakuja kugundua ndo yuleyule najinyamazia tu sasa mana hata hiyo ya karanga2 nnashaka nayo
Mkuu kuna sakata limetokea hizi siku mbili tatu na wewe umepotea hizi siku mbili tatu....kuna uhusiano wowote wa kupotea kwako na hili sakata?
 
Back
Top Bottom