Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Mfa maji haishi kutapatapaChaa[emoji23] [emoji23] unavyojidai nae huyo bwanako mtu anaweza kudhani ni mtu wa maana kumbe ni mzigo afadhali hata gunia la misumari...na huyo mtoto nahisi 49% inahusika
Huhuhuuuuuuu!! Angekuwa mzigo ungemsarandia? Maneno ya mkosaji.
Mwanangu ni the best of the best duniani.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] si vile ulikuwa unajidai na mimi nikasema ngoja nione kama yaliyomo yamo...nilijuta yaani huu mwili wangu ungekuwa kama simu ninge-reset kabisa ila ndo hivyo tena yalishatokea
Pata kibwagizoHuyo unamuweza wewe mwenyewe..endelea kufurahia machungu ya ndoa yako mama
Nifurahie kitu gani? Najua unajua ila nakukumbusha tu.... I have nothing to do with u guys. Kwenye familia yenu hakipo cha kunifurahisha wala kunisikitisha
Mie si unajua nilikuachia nikaolewa tena!! Sasa hizi habari unazonipa namhurumia tu huyu mzazi mwenzangu na uzee huo anazeeka mwenyewe kweli!! Hebu rudisha moyo nyuma mama.Huyo unamuweza wewe mwenyewe..endelea kufurahia machungu ya ndoa yako mama
[emoji85]Ni vile tu Mods wanajitahidi kugawa Ban siku mbili hizi..Ngoja yangu nisiseme
Marahabaaa kwa niaba yake, maana sio kwa maneno hayo!!Hahaa shikamoo daddy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yamemshuka shuu kama mashavu yake yanayochuma kunde
Na huku kutapa tapa sio kwa nchi hii!!Mfa maji haishi kutapatapa
Ameeeeeeen!!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Pole, naona imekuwa ngumu sana kwako kukubali kuwa umepigwa to the left. Be strong IJN
Watu weweeeeeee!! Akileta ngebe muwekee na wimbo wa ccm mbele kwa mbele kabisa.Pata kibwagizo
Hamtuwashiii, hamtuzimii
Mwaona donge la nini
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe
Wanadamu walimwengu kama familia yetu yawakera, mbona watakereka sana
Na watakereka sana
Jicho la kutuonea hawanalo walimwengu
Wanatuonea haya aloturuzuku Mungu
Ya shari watuombea yatufike walimwengu. .....
Wewe ni kaka yangu ujue!! Tena kaka yangu kabisaaa.U-kaka mimi na wewe umeanza lini? Au unaogopa mambo ya 'hainaga ushemeji'....
[emoji28] [emoji23] [emoji23]Yaani sijui nani kalivanga hili ndanga!!
Nimejifunza kwa step daddy wangu MO11, maana ana majibu khaa
Haha namuandalia kibwagizo kingine hapaWatu weweeeeeee!! Akileta ngebe muwekee na wimbo wa ccm mbele kwa mbele kabisa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji28] [emoji23] [emoji23]
Lake litakuwa zuri..[emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Yaani mwanaume ana majibu yule dooo!!!Nimejifunza kwa step daddy wangu MO11, maana ana majibu khaa
Naona kaamua kukimbia.Haha namuandalia kibwagizo kingine hapa