Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] si vile ulikuwa unajidai na mimi nikasema ngoja nione kama yaliyomo yamo...nilijuta yaani huu mwili wangu ungekuwa kama simu ninge-reset kabisa ila ndo hivyo tena yalishatokea
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Pole, naona imekuwa ngumu sana kwako kukubali kuwa umepigwa to the left. Be strong IJN
 
Huyo unamuweza wewe mwenyewe..endelea kufurahia machungu ya ndoa yako mama
Pata kibwagizo

Hamtuwashiii, hamtuzimii
Mwaona donge la nini
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe
Wanadamu walimwengu kama familia yetu yawakera, mbona watakereka sana
Na watakereka sana

Jicho la kutuonea hawanalo walimwengu
Wanatuonea haya aloturuzuku Mungu
Ya shari watuombea yatufike walimwengu. .....

Nifurahie kitu gani? Najua unajua ila nakukumbusha tu.... I have nothing to do with u guys. Kwenye familia yenu hakipo cha kunifurahisha wala kunisikitisha
 
Huyo unamuweza wewe mwenyewe..endelea kufurahia machungu ya ndoa yako mama
Mie si unajua nilikuachia nikaolewa tena!! Sasa hizi habari unazonipa namhurumia tu huyu mzazi mwenzangu na uzee huo anazeeka mwenyewe kweli!! Hebu rudisha moyo nyuma mama.
 
Pata kibwagizo

Hamtuwashiii, hamtuzimii
Mwaona donge la nini
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe
Wanadamu walimwengu kama familia yetu yawakera, mbona watakereka sana
Na watakereka sana

Jicho la kutuonea hawanalo walimwengu
Wanatuonea haya aloturuzuku Mungu
Ya shari watuombea yatufike walimwengu. .....
Watu weweeeeeee!! Akileta ngebe muwekee na wimbo wa ccm mbele kwa mbele kabisa.
 
Back
Top Bottom