Kwani kama umemdondokea binti huwa unaanza tu kumpa lift? Use the same approach ili umzoee na huyu then utakuwa tu free kumpa liftSasa nitakujua vipi nakuona barabarani mimi napita na gari?
Sasa kwa sababu una moyo wa kusaidia, itabidi ufanye hivyo. Otherwise sio rahisi mtu kumtrust tu stranger ampe liftMimi nasaidia tu sitaki kutongoza. Msije kusema tuna roho mbaya.
Hili sakata mii silijui bado hem nijuzeMkuu kuna sakata limetokea hizi siku mbili tatu na wewe umepotea hizi siku mbili tatu....kuna uhusiano wowote wa kupotea kwako na hili sakata?
Hii inauma sana nilivo kua nataabika na usafiri unapita kituoni unataka kutoa kampani unakodolewa mimacho tuuu dahespy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo
Its about time mama, mpauko mwema.[emoji38] [emoji38] [emoji38] poor little girl. Beba begi nenda shule mama this is adult stuff. Naona mama yako ameelemewa ameona akufundishe ili uwe unamsaidia..pole sana haya mambo mazito huwezi kuelewa subiri ukue
espy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo

Eti from no where tu huyoo napanda lift mtu hata simfahamu!! The world isnt that safe jamani. Mie hadi wanaonaga naringa, acha tu ninyeshewe ila nitafika niendako salama kuliko kuparamia tu magari ya watu nisowafahamu.Wengine waoga kuingia tu kwenye gari ya mtu usiye mfahamu vizuri. Tena kama ni mwanaume.
Ulikuwa umetabasamu kweli?
Ila ndo vizuri, mtoto wa kike unaanzaje tu kupenda lift za wanaume usiowajua?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nipauke kwa lipi sasa chaa naona unajifariji wakati wewe ndo unapaukaIts about time mama, mpauko mwema.
Wengine waoga kuingia tu kwenye gari ya mtu usiye mfahamu vizuri. Tena kama ni mwanaume.
Exactly my thoughts. Kwa kweli ninyeshewe tu sijui nipigwe na juaNawe watoaga lift? Wengine hatupandagi lift za watu tusowajua ati!! Dunia ishavaa shumizi hii.
Eti from no where tu huyoo napanda lift mtu hata simfahamu!! The world isnt that safe jamani. Mie hadi wanaonaga naringa, acha tu ninyeshewe ila nitafika niendako salama kuliko kuparakia tu magari ya watu nisowafahamu.
Imagine mtu humjui kabisa, hata kama ni mtanashati kama RRONDO
Kama simfahamu vizuri kwa kweli acha tu ninyeshewe. Lakini kuna wengine wanajitosa.
Mimi mmoja wapo...hadi niingie kwenye gari yako niwe nakufahamu vizuri. Wanaume viumbe wa ajabu sanaWengine waoga kuingia tu kwenye gari ya mtu usiye mfahamu vizuri. Tena kama ni mwanaume.
Eti from no where tu huyoo napanda lift mtu hata simfahamu!! The world isnt that safe jamani. Mie hadi wanaonaga naringa, acha tu ninyeshewe ila nitafika niendako salama kuliko kuparakia tu magari ya watu nisowafahamu.
Eti from no where tu huyoo napanda lift mtu hata simfahamu!! The world isnt that safe jamani. Mie hadi wanaonaga naringa, acha tu ninyeshewe ila nitafika niendako salama kuliko kuparakia tu magari ya watu nisowafahamu.
Mimi mmoja wapo...hadi niingie kwenye gari yako niwe nakufahamu vizuri. Wanaume viumbe wa ajabu sana
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Safari moja huanzisha nyingine. Huwa unawasaidia wote? Wanaume wenzio,wabibi,wamama,vichaa..... au mabinti tu?Mimi nasaidia tu sitaki kutongoza. Msije kusema tuna roho mbaya.