Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

espy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo
Hii inauma sana nilivo kua nataabika na usafiri unapita kituoni unataka kutoa kampani unakodolewa mimacho tuuu dah
 
espy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo

Wengine waoga kuingia tu kwenye gari ya mtu usiye mfahamu vizuri. Tena kama ni mwanaume.
 
Nawe watoaga lift? Wengine hatupandagi lift za watu tusowajua ati!! Dunia ishavaa shumizi hii.
 
Eti from no where tu huyoo napanda lift mtu hata simfahamu!! The world isnt that safe jamani. Mie hadi wanaonaga naringa, acha tu ninyeshewe ila nitafika niendako salama kuliko kuparamia tu magari ya watu nisowafahamu.
 
Wengine waoga kuingia tu kwenye gari ya mtu usiye mfahamu vizuri. Tena kama ni mwanaume.

Nawe watoaga lift? Wengine hatupandagi lift za watu tusowajua ati!! Dunia ishavaa shumizi hii.
Exactly my thoughts. Kwa kweli ninyeshewe tu sijui nipigwe na jua
Eti from no where tu huyoo napanda lift mtu hata simfahamu!! The world isnt that safe jamani. Mie hadi wanaonaga naringa, acha tu ninyeshewe ila nitafika niendako salama kuliko kuparakia tu magari ya watu nisowafahamu.

Imagine mtu humjui kabisa, hata kama ni mtanashati kama RRONDO
Kama simfahamu vizuri kwa kweli acha tu ninyeshewe. Lakini kuna wengine wanajitosa.
 
Eti from no where tu huyoo napanda lift mtu hata simfahamu!! The world isnt that safe jamani. Mie hadi wanaonaga naringa, acha tu ninyeshewe ila nitafika niendako salama kuliko kuparakia tu magari ya watu nisowafahamu.

Kwa kweli, cos hawa wakaka sio kabisa siku hizi.
 
Back
Top Bottom