Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ahhahaha analazimisha hadi undugu?Ndio.
Tuondoke kwenda wapi? Mwanangu ana adabu debe ila hauzideserve hata robo. Alafu tayari yuko kwa mumeweeee.
Huo ushauri wako ungeutumia ungekusaidia angalau uache kuhangaika na dunia maana hata hao unaowaita kaka zako ni vile wanakuonea aibu tu ndugu yao ila na wao hawakutaki maana unachafua jina la ukoo(japo ulilazimisha ukoo nao)
Maskini ana nyota ya u- 4th bestMume wako au mume wa mtu!! Una ujanja wa kumpata mume wako basiii!!
Mwanangu hawezi kuwa his type neverrrrrrrrrr!! Maana waume za watu kwake ni mwiko tena mkubwa maana alifunzwa akfunzika.
Yuko kwa mumewe kajitulizaaaa. We hasidi endelea kuranda na njia na stress zako.
Ukichoka Yesu bado ni jibu.
Ndio hivyo dota, yaani kachemsha kila mahali.Ahhahaha analazimisha hadi undugu?
Amgeukie Yesu atamsafisha nyota.Maskini ana nyota ya u- 4th best
Sasa nitakubalije lifti ya mtu nisiye mjuaaaespy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo
Kweli ana nyota ya kaniki, haisafishiki kuwa nyeupeAmgeukie Yesu atamsafisha nyota.
Hawasemi wanakuchora tu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli ana nyota ya kaniki, haisafishiki kuwa nyeupe
Msitufanyie hivyo jamani...
Sijui kafia wapi... tangu aolewe amekuwa adimu balaaUsinikumbushe how I miss that person. Dah!
Mie sibadili aidii babangu, wa hapa hapa. salamia Bibi kwa Sana Manake umenitenga Nae.