Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Ndio.

Tuondoke kwenda wapi? Mwanangu ana adabu debe ila hauzideserve hata robo. Alafu tayari yuko kwa mumeweeee.

Huo ushauri wako ungeutumia ungekusaidia angalau uache kuhangaika na dunia maana hata hao unaowaita kaka zako ni vile wanakuonea aibu tu ndugu yao ila na wao hawakutaki maana unachafua jina la ukoo(japo ulilazimisha ukoo nao)
Ahhahaha analazimisha hadi undugu?
 
Mume wako au mume wa mtu!! Una ujanja wa kumpata mume wako basiii!!

Mwanangu hawezi kuwa his type neverrrrrrrrrr!! Maana waume za watu kwake ni mwiko tena mkubwa maana alifunzwa akfunzika.
Yuko kwa mumewe kajitulizaaaa. We hasidi endelea kuranda na njia na stress zako.

Ukichoka Yesu bado ni jibu.
Maskini ana nyota ya u- 4th best
 
espy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo
Sasa nitakubalije lifti ya mtu nisiye mjuaaa
 
Usinikumbushe how I miss that person. Dah!
Mie sibadili aidii babangu, wa hapa hapa. salamia Bibi kwa Sana Manake umenitenga Nae.
Sijui kafia wapi... tangu aolewe amekuwa adimu balaa

18579573_1773020713008647_6798493154333949952_n-jpg.511237
 
Back
Top Bottom