Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nimependa pozi lako...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani wewe unanifaa kabisa... tumemechi freshi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa pozi lako...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijambo anko wa rafiki yanguRafiki wa mpwa wangu haujambo!
Swahiba za kwako bwana!
Kwa hiyo mimi haujanimiss Umemmiss ivuga tu! Haya namwachia molaSijambo anko wa rafiki yangu
Mi sijamficha bhana... kabinti kalikuwa kamepata tenda ya kupika mnuso wa kitchen partyHaujambo mpwa... miss you pia nani kakuficha Asprin au Saint Ivuga?
Swahiba umeamua kusaliti chama! Adhabu yako utaikuta ofisini kesho na huyu mwenzako
Halafu nilikuonaga maeneo fulani paleee na hiyo kitu mdomoni
[emoji85] [emoji85] [emoji85] don't ask me that question ankooHaujambo mpwa... miss you pia nani kakuficha Asprin au Saint Ivuga?
Haya bwana mchukue mpwa wangu relato umwondoe hapa nataka kuteta kidog na kiutu uzima.
Unaolewa jf na wewe tena na anko wanguSijambo anko wa rafiki yangu
Hiyo makitu wacha kabisa. Ukishaipiga dunia yote unaiona wazi... hakuna cha kukuzuia...Halafu nilikuonaga maeneo fulani paleee na hiyo kitu mdomoni
Hapana si kwa mfano huuHah hii bado
Anko she is my friend [emoji19]Kwa hiyo mimi haujanimiss Umemmiss ivuga tu! Haya namwachia mola
Hongera nasikia umeshaachana na ukaperaUnataka kutupunguzia mitongozo eeeh?