Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hicho kitu ngoja nije nikuambie maana nilichekaa nikajua umejichanganya na haukuwa makini.Wacha wee vipi mate yalinitoka?
Ila mtu kama umstarabu ushenzi huwezi ata kwa kuiga upo vizur momy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kitu ngoja nije nikuambie maana nilichekaa nikajua umejichanganya na haukuwa makini.Wacha wee vipi mate yalinitoka?
Ila mtu kama umstarabu ushenzi huwezi ata kwa kuiga upo vizur momy
Haya nimeacha.. ila tu wakija uwe unawakumbusha waje wajisalimishe kwa anko[emoji85] [emoji85] [emoji85] don't ask me that question ankoo
Mkongwe naona umekuja kibabe ha haa
Ujikute tu, si nakulaani na kimbilimbi chako[emoji57] [emoji57] [emoji57]Nishazeeka sichuniki tena
TehHapana si kwa mfano huu
Sawa AnkoHaya nimeacha.. ila tu wakija uwe unawakumbusha waje wajisalimishe kwa anko
Wewe mpwa... yaani na kumrembea kote kule mwandiko ni just friend tu! HapanaAnko she is my friend [emoji19]
Unalaana wewe kimbilimbi cha kaka yako umekijuajeUjikute tu, si nakulaani na kimbilimbi chako[emoji57] [emoji57] [emoji57]
We subiri tu, hadi uingie mkenge.Teh
Sijakutana nalo labda espy aamue kunikamata tu
Unasemaje mwanamke?Unataka kutupunguzia mitongozo eeeh?
Kila la kheri... mrejesho ofisini ni muhimu
Njoo wangu nijione nlivokua ha ha haaHicho kitu ngoja nije nikuambie maana nilichekaa nikajua umejichanganya na haukuwa makini.
Nipo makini maana nina reserve hahahaWe subiri tu, hadi uingie mkenge.
Ha ha ha haha.kwahyo unatakaje[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe mpwa... yaani na kumrembea kote kule mwandiko ni just friend tu! Hapana
Ninalingine basi zaid Wewe mwambie anko naye anameshammiss... and a com thiz wayHa ha ha haha.kwahyo unatakaje[emoji23] [emoji23] [emoji23]