Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Kama hujagonganisha mtu na babaye wewe sijui?Kumbe jibu unalo. Labda utongoze nisikushuhudie, lasivyo lazima nikuharibie, bado nina machungu kwa uliyonitenda siku ileeeee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujagonganisha mtu na babaye wewe sijui?Kumbe jibu unalo. Labda utongoze nisikushuhudie, lasivyo lazima nikuharibie, bado nina machungu kwa uliyonitenda siku ileeeee!
Ujue mimi hata sauti inakwaruza sababu ya maombi....Utaweza kunena kwa lugha maana haya mambo ya nahitaji imani isiyo haba
Usijisahaulishe, tukapanga vizuriiii alivyotokea Honey Faith ukanikana hadharani, bado nina machungu.Hio siku ulikuwa unatumia ID gani?
Ungeuvaa mkenge mama. Si unajua siku ile walisifiwa weusi, kwahiyo alitaka aonje tu.Eti kwa kweli sijawahi kuona msukuma na cheusi mangala kama mie jamani.
Aisee alichonifanya huyo najuta kwanini nilikutosa!Usijisahaulishe, tukapanga vizuriiii alivyotokea Honey Faith ukanikana hadharani, bado nina machungu.
Ile sentesi ya mwisho kabisa uli iona pia?
Yaani acha kabisa, alafu nakaribia pepa, nikaambiwa tu "j.mosi hakikisha upo hapa nyumbani" nikajua tu nishakinukisha.Pole khaaa kuna mambo ukikumbuka mpaka unajiuliza yalipitaje pitaje mana yanakera sana
Utajitambua tu kua mpoleKwahyo Mimi Ndio Neymar au?
Weeeeh!! Form6 bwana.Na wewe uliwahi STD six!
Mhhhh........Haha bado unaendelea kunipoteza tu
Teh teh siwezi Fanya huo mchezooKama wewe sijui kama hutuchori