Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Hii kitu unafika Washington bila passport wala vizaHahahahahaaa... kitu orijinale...
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu unafika Washington bila passport wala vizaHahahahahaaa... kitu orijinale...
![]()
Tutembezeane kitu cha msuba,kitu cha capachino ,hali ya hewa hii watu wamokeHahahahahaaa... kitu orijinale...
![]()
Duuuuh kama ni hivyo mimi ni mmoja wao miaka yoteHaikuwa P ila hadi kesho wengi wakisoma wana confuse RR na PR..
Mh mwanzo ulikua nani?[emoji13]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Nishajua huku naugulia maumivu tu. Maana sio kwa neno alilonipa
Fanya makosa uniulize mimi hilo swaliNiambie mchezo wako upendao
Ehee hem utangulizi namii nijue mkuuKesi za hivi hukumu zake tamu sana
Umeona eehHa ha ha ha. Nikiwepo anapunguza fujo kweli..
Hivi unajua nafatilia mwandiko wako!Huyu dada anakupenda pia [emoji6]
Ndio nimechagua kuwekeza hapo.
Hakuna shida kiongozi... vipi huu mzigo unakufaa??Tutembezeane kitu cha msuba,kitu cha capachino ,hali ya hewa hii watu wamoke
Sina hakika kama haikua @BRONDOHaijawahi kuwa kuwa P. Ila 99% ya watu wanaikosea na kuita P coz logically if not P ingekuwa single R.
Miadi tayari, hapa nawasiliana na agent wa bombadia tiketi ipatikaneKagua huyo asikuletee uzushi. Afu huwa kanabishabisha hapa jukwaani, ukienda PM kanakupa miadi fasta...
Vipi apa mkuu nimeona kama ni pacha wako vile?
Mzigo umetulia... Ukikukamata vizuri huchelewi kufanya maamuzi magumu bila shuruti..Hii kitu unafika Washington bila passport wala viza
Nilijua tu utasema hivo.....Sitaki Hata kuzisikia. Na sijui hukumu yake huwa nini