Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mimi na wewe si tunalala kitanda kimoja?Acha hizo basi mtakatifu
Kama relat yupo si ungemjuaaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na wewe si tunalala kitanda kimoja?Acha hizo basi mtakatifu
Habari za leo mzee mwenzanguNdio nani?[emoji85]
Cc @ Asprin
Bora mmekuja pamoja....... [emoji12]Habari za leo mzee mwenzangu
Wewe mrembo hivi unajua hii ni criminal case!
huu ujirani wenu siupendiiiiThat's great...
Naamini u mzima kiafya na viungo vyote vya mwili
ata ww wakwako nimeshaukop niliuona kwenye id moja hiv[emoji20]Haahahh
Fuatilia mwandiko
Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Mimi na wewe si tunalala kitanda kimoja?
Kama relat yupo si ungemjuaaa?
Haha haya bwana... mimi sinaga camera kwenye simu yanguHee siijui acha nipite mbio kama hii mboga inavyowakimbia watu wa iringaView attachment 506384
Kipo ila hadi uvae miwaniHiv hum kuna kitufe cha kubadil id?
Njoo mhamishe na nyumba yakehuu ujirani wenu siupendiiii
Namshukuru Mungu vyotee ni vizimaThat's great...
Naamini u mzima kiafya na viungo vyote vya mwili
kuna id niliona umeandika jina hili mndali ndanyekolamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] sie tumezeeka shauri zako...kwenye hizo mpya ndo wapo wabichi komaa nao utapata by trial and error[emoji125] [emoji125]
Nikajua kuna kimelegea tuje tusaidizane kukinyoosha siunajua ujirani wema bwanaNamshukuru Mungu vyotee ni vizima
Haha me mbona nipo jamaniBora mmekuja pamoja....... [emoji12]
Sasa mbona nakumiso, au kila siku mpya wewe?Haha me mbona nipo jamani