Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaani!Hahaaahaa!, kuumbe! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh shangazi wa mie unavijimisemooHahaaaa!! Yaani ukimuangalia mtu unaona kabisaaa ni 38 ila kakomaa kukuambia ni 23, hapo ndipo unajua tu kwakweli hata maharage ni kiungo tu cha kande!!
Hehehe hiyo kiboko sasa.Hahaaa!, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heaven Sent Dota wake inaitwa huku, usije potea kisha kurudi kama mjukuu wake. [emoji28]
Alafuu unajua simujuiii embu muite nimuoneNahisi tu aunty yangu, maana mnaendana endana. Ndio maana zikaitwa hisia aunty, sio lazima ziwe na uhakika.
Tusubirie tu zile za wazee wenzetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah siredi zingine tuwe tunawaachia wajukuu tu.
Bi mkubwa, kuna watu uzee unawajia vizuri, sio kwa uromantic wa.....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]. Umemuona?Kabisa yaani!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Prondo we ni chizi wa JF.
Mbona mbichi sana au ndo mzuka wa jf wa mwanzo mwanzo??Akuuu mi sina ID mbilii
Heaven Sent mlete atoto, mtoto anataka kumuona.Alafuu unajua simujuiii embu muite nimuone
Hahahaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbona mjukuu!!
Aaah mwambie awe na subraHeaven Sent mlete atoto, mtoto anataka kumuona.
Teh forever youngespy mbona ntakuwa niece wako badala ya shosti, rafiki ake mjukuu wako Heaven Sent [emoji28] [emoji124]
Wazee sasa kwani wanaleta sred!! mmoja baada ya miezi, si tutaota kutu kwa kusubiri, maisha ndio haya haya bwana we, zama hazifanani tunajichanganya tu hivyo hivyo.Tusubirie tu zile za wazee wenzetu
Jmni mbichii kiajeeeMbona mbichi sana au ndo mzuka wa jf wa mwanzo mwanzo??
Haya, karibu jf!
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Heaven Sent mlete atoto, mtoto anataka kumuona.
wazee nao sijui wanaogopa umri kama sisi, wamewaachia tu wanetu kina D*by[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wazee sasa kwani wanaleta sred!! mmoja baada ya miezi, si tutaota kutu kwa kusubiri, maisha ndio haya haya bwana we, zama hazifanani tunajichanganya tu hivyo hivyo.