Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

ha ha ha usinifanyie hivo alafu umeona sasa hii ID yako kwangu mpya!! ina maana utakua nawe umebadili jina eh maana kule sijawahi kugongana na wewe!! hahah.
Alafu kule nilipigwa stop na baba watoto!! nisiingie si unajua balaa la kule full kuamsha vilivyo lala..haha

Kwi kwi kwiii huenda mii ndo nanihii hujui tu mii ndo nakuambia tumegongana mnoo yani vyakutosha.

Kupigwa stop ametenda haki mana kule waeza msingizia shetani buree
 
Kwi kwi kwiii huenda mii ndo nanihii hujui tu mii ndo nakuambia tumegongana mnoo yani vyakutosha.

Kupigwa stop ametenda haki mana kule waeza msingizia shetani buree
ha ha ha msitufanyie hivo atii mnatuchanganya!! tutashindwa kuchunguza nyendo zenu humu
 
Kila enzi na kitabu chake na mtume wake kiongozi! Asante kutukumbuka, wengine tunaibia ibia kwa nadra tu hasa kukiwa na matukio makubwa! utu uzima kazi sana aisee
Utu uzima dawa..
 
ha ha ha msitufanyie hivo atii mnatuchanganya!! tutashindwa kuchunguza nyendo zenu humu
Nyi mnataka kumpinga Mwenye Enzi kizazi cha sasa sijui mpojee mwanamme anamamlaka kwa mkewe na mke ni mtoa ushauli tu.

Halafu nani kakuambia mwanamme anachunguzwa?au humtaki unachunguza ili upate sababu ya kuachwa?
Nakushauli usimchunguze jali maisha yenu ndani wewe ndo mlezi ujue
 
Kwahiyo ndo umesuta hivyo kisa tu nimekwambia twataka tuwachunguzeee[emoji19]
 
Kwahiyo ndo umesuta hivyo kisa tu nimekwambia twataka tuwachunguzeee[emoji19]
Yiwacheni tu kutuchunguza kutawaleteeni matatizo nyinyi wenyewe umemchoka mwambie tu
Ndomana tunatangulia kifa mnatutesa sana nyie
 
Unataka nikujibu kuna mvua ili unambie unahisi baridi....[emoji124] [emoji4] [emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Utakua wa zamani wewe umejuaje sasa
Hivi kweli sio atoto wewe?

Mimi ni branget zuri sana kwako hutaki joto wewe?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Utakua wa zamani wewe umejuaje sasa
Hivi kweli sio atoto wewe?

Mimi ni branget zuri sana kwako hutaki joto wewe?
Joto ninalo la kutoshaaa. ...
Toka mi si atoto kwanza simjuiii

Mbn leo umemtaja sanaaa unampendaeeee[emoji4]
 
Joto ninalo la kutoshaaa. ...
Toka mi si atoto kwanza simjuiii

Mbn leo umemtaja sanaaa unampendaeeee[emoji4]
Ndo nalitaka hilo joto linisambazie upendo asee[emoji8]

Umenifananisha sikamtaja mimi simjui wala si mpendi mii nakupenda wewe tu.

Kama umenitega wewe ndo yule Mungu anakuona.
 
Back
Top Bottom