Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ilibidi nijifanye nimesinzia baada ya kupigwa na butwaa!!Kumbe umekiona, hapo sawa, mi nilijua ulisinzia maana...
Kama ukaguzi wenyewe ndio na kile, nimeghairi ukaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilibidi nijifanye nimesinzia baada ya kupigwa na butwaa!!Kumbe umekiona, hapo sawa, mi nilijua ulisinzia maana...
[emoji15]Kigezo cha Kwanza umekipita[emoji818]
Mmmh[emoji15]
Emb nipe ID yako ya uzeenMmmh
Malipo unayonipa ni makubwa sana, lazima niyatendee haki.Teh!, Lawyer unajua sana kazi yako.
We jichanganye tu.Khaa hapana asee acha ochochezi
Fanya kama hujui kitu yule kwa si mtoto lakini wa mbalii
Utanikimbia bora tu tuchat kwa hii ya ujanani [emoji16]Emb nipe ID yako ya uzeen
[emoji15]Utanikimbia bora tu tuchat kwa hii ya ujanani [emoji16]
Amenithibitishia kwamba huwa sikosea...how was your day my dear?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha haaa...ila wajanja ni wachache sana aiseeWajanjaa tutajua mwandiko wako tu
Uzuri mkizeeka hata ile kasi ya kutype inapungua hivyo ukishaona I'd mpya halafu meseji unasubiria 10mins unajua tuHa ha ha haaa...ila wajanja ni wachache sana aisee
Nilikuwa sijawahi gundua unanichukia that much!! "Witch". Thank you.Please follow me before that witch see u talking to me...🙂🙂