Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Hongela zakeHana nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongela zakeHana nyingine.
Mimi siyo mtoto jamaniHii bado haija ingia humu basi wee utakua mtoto mzuri hutuchori kama wengine
Mtapeana mchapo tu.Na wakaka pia watuambie wasijeanza kututega kututongoza mara ya pili. Tukiwakubali tena mara ya pili tusilaumiane
Ha ha ha ha sawa umeshindaaa.
Mkuu, siku hizi "you choose your words very carefully"..teh teh! Yaani hujiachii kama mwanzo, is it coz of new love?Mpaka mtu kutafuta id mpya mhmmhmhmhmh Iko namna hapa si bure ..
Na wengine tu wana mission zao kwa hizo different id's
Poleni sana
Cc Smart911
Teh tehTuta limaliza mii na wewe usihofu
Hamna Dada kazi tu zinanibanaMarahaba mdogo wangu...
Nani anakuficha hivyo jamani
Teh tehHalafu muambie nnacho tayari hicho kifua kipana
OoohHamna Dada kazi tu zinanibana
Hahahaa kweli wa kufanana nawe. Afu itakuwa destiny yenu jamani kutamaniana hadi kwenye ID zenu mpya teh
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Kwa kweli you two guys are destined to be together. Kila new ID you fall for each other lol, what's that?
Kwa kweli you two guys are destined to be together. Kila new ID you fall for each other lol, what's that?
UmeonaeeeOooh
Kazi ndo mambo yote mwaya mdogo ake mie
Hulali tuuu........maana naonaaa mmmmm[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hongela zake
Kimvua hiki napate usingizi sasa bila joto lako?Hulali tuuu........maana naonaaa mmmmm[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Blanket hauna???Kimvua hiki napate usingizi sasa bila joto lako?
Blanket hauna???Kimvua hiki napate usingizi sasa bila joto lako?